• Dar es salaam
  • +255767365229
  • physiotanzania@gmail.com

Latest News

TAARIFA YA KUCHANGIA MICHANGO YA KILA MWAKA KWA WAJUMBE

Wajumbe ambao hamjalipa ada zenu mnakumbushwa kuendelea kulpia ada za uanachama kupitia akaunti zetu za benki na nitandao ya simu kama ilivyokuwa awali

Wajumbe wa APTA mnakaribishwa kuanza kujisajili

Kwa wajumbe wa APTA mnaweza kuanza kujisajili kwa kujaza registration form kisha mtasubiri mwenyekiti awathibitishe ili kuanza kuutumia mfumo rasmi

Mfumo rasmi wa Association of Physiotherapy in Tanzania APTA

Karibuni wapenzi wajumbe na watanzania kwa ujumla kwenye mfumo wetu rasmi wa jumuiya wa wataalamu wa mazoezi ya viungo na tiba Tanzania

Page 1 of 1Add New News

Register new news for peoples *


To Add news Register First / Log In